Hivyo viiambata vyote ulivyotaja hapo juu I do qualify my dear. Ok take me now!I am just Imagining . . . . To know who will be a Super Lady in JF with the following traits:
1. Awe Mwanamke wa Shoka!
2. Educated and Very Professional
3. Mwenye Uwezo wa kupewa Uongozi wa Juu na akafanikiwa
4. Mwenye ushawishi wa hali ya juu
5. Uzoefu wa Maisha ya Mtanzania
6. Exposure ya Nje ya nchi
8. Gentle and Diplomatic
9. Not Young but Not Old
Let me know if you are guess can be mine. Unaweza ukapitia posts zote.
Who will that Super Lady be and why?
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.
Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.
- Asha Rose Migiro for President 2010
- Natafuta kazi
- Makosa katika uandishi wa maneno
- Vipi nijikwamue
- Press Release: diamond drilling at Tembo, Tanzania
- Healthy Juices
- Tanzania drops on WEF business competitiveness rankings
- Judge naye ajichukulia sheria mkononi
- 10 Great Rules That Will Help You not to be rich
- ulaji Botswana
- Tanzanian workers are less productive than the Kenyans
- Astronomers find batch of "super-Earths
- Tanroads Terminates Norconsult Contracts
- Unadhani una Matatizo ya kifamilia....soma kisa hiki
- who said.....?
- Tanzania: Farmers Face Eviction from their land
- Swali kwa wanaCCM
- Tanzania: might be an ancient source of dispersal of modern humans in the world!
- Politicians who go late to meetings
- Expression of interest -BOT Value for Money audit
- When Lovers Used To Write Letters With Dictionaries
- Balozi apongeza Vyombo vya habari Tanzania kwa kupambana na ufisadi
- Duka alilonunua dawa spika Sitta ni la Mkwe wake
- Drilling Commences at High Priority Targets Mabale Hills Gold Project, Tanzania
- Funding news
Ok.
These are Penny's threads . . . LOL
Wee superman mambo gani tena unaanza kusarua watu ch*p* hadharani bwanaaaaa! Kwani wewe shida yako nini mpaka unanika topics zetu humu...wewe kama unatafuta kimada siuende kwenye blogs husika! Umeniudhi bwana and you spoiled ma´day.
Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.Belinda is JF's sports Lady.
Womenofsubstance is JF's justice Lady.
Mwafrika wa Kike is JF Super Lady.
Penny always thinks of love and love affairs. May be she is JF's Lady of Love affairs.
Ok my dear, nimekuelewa babangu...siunajua tena uchovu wa siku. Kila la kheri katika shughuli yako unayotaka kuifanya.Penny my Sister;
Pole kama umechukia. Ni kwa nia nzuri tu.
Si unajua Threads zote zimo jamvini na zinapatikana tu.
I know you are good, so dont worry. And, sitafuti Kimada wala.
Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.
Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.
Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.
Nawakaribisha wote, wasiwe na wasiwasi siri zao za ndani nitaziifadhi kwa hali ya juu sana kama ninavyo hifadhi p***y yangu.Penny, nafurahi umekubali kwa moyo mkunjufu kuwa wewe ni JF lady of Love affairs. Wenye matatizo watawasiliana nawe, lol!
Cool . . . Mama huyu hapa na Threads zake:
Jifagilie Shosti maana u deserve it.
Bimkubwa....should definitely be in the list
Ila binafsi Mwafrika Wa Kike hana mpinzani
- Second Wives of African Presidents
- Drill Commands in Kiswahili
- Indian teacher explains 'the F word'
- Msaada tafadhali
- Anyone watched David Letterman Last night?
- Wedding ends in disarray in Kenya
- Noisy sex gets man banned from home
- Tanzanian Olympians
- Husband snatcher faces womens wrath
- Political cartoons
- Tanzania Idol auditions were a joke
Kisura huyu hapa na Threads zake:
Nyani Ngabu; Bi Mkubwa huyu hapa chini na Threads zake: