Wadau,
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu suala hili. Je, ingekuwaje endapo
Mwenyezi Mungu angetoa fursa ya kila mwanaume kujiumbia mwanamke ambaye
hatimaye atamwoa ingekuwaje? Ungepewa wewe fursa hiyo ungeumba mwanamke
mwenye appearance au mwonekano au umbile gani? Nauliza appearance kwa
sababu najua kwa upande wa tabia kila mtu atasema mwenye tabia njema na
mwenye heshima na bidii ya kazi, n.k.