Daaah nimeitazama Simba yangu Jana nimesikitika sana siku mzima Kwa wachezaji wapya na uchezaji wao
Kwa kweli hawa wachezaji tumepigwa. Wachezaji hawa ni wabovu hawawezi kutoboa Kwa mechi za mikoani japo mnaweza msinielewe ila tutaonana kwenye ligi.
Ushauri:
Tunaomba TFF itufungulie dirisha letu la usajili wanasimba tusajili quality players.
View attachment 2890526
Sent from my TECNO KG5j using
JamiiForums mobile app