Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's nonsense kabisa tufanyie kazi.