Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
hapa wewe uko wapi na unafanya nini? ndiyo hayo hayo ya hii kitu watu wanatetea ujinga. Uko sahihi...Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's nonsense kabisa tufanyie kazi.
Kiteto bado hakujakucha,kwanza tunalima huku tuko JF.Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's nonsense kabisa tufanyie kazi.
Ni hatari kweli nyani haoni kundule.Pale mshauri wa kupinga kuchati asubuhi anapopost asubuhi chat ya kukosoa kuchat asubuhi
Hata wewe mwenyewe kwanini hukutoa shauri lako kuanzia saa saba hivi mchana, it would make sence. Otherwise it's nosense kabisa, Don't you think so ?Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's nonsense kabisa tufanyie kazi.
Mtoa mada utakuwa na tatizo upstairs. Siyo bure.Hivi how is it possible; watu asubui asubui mnaamukia mitandao ya jamii hivi hamna mishe? At least watu watiririke humu kuanzia sa saba mchana hivi, it will make makes sense. Otherwise it's nonsense kabisa tufanyie kazi.
π angengoja hata ifike saa 7 kasoro mchanaPale mshauri wa kupinga kuchati asubuhi anapopost asubuhi chat ya kukosoa kuchat asubuhi