Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

Imane Khalif Aushitaki Mtandao wa X dhidi ya Unyanyasaji Mtandaoni

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Imane Khelif (25) mwanabondia kutoka Algeria amefungua kesi ya madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki Agosti 9, 2024

1723626631774.png

Miongoni mwa watu waliotajwa katika kesi hiyo ni Elon Musk na JK Rowling kulingana na Mwanasheria wa Imane Khelif, Nabil Boud

Aidha Nabil Boud amesema kuwa udhalilishaji huo ni kampeni ya chuki dhidi ya wanawake, ubaguzi wa rangi, na jinsia

Soma Pia: Mwanamke alia baada ya kupiganishwa na mwanaume olympics #Paris2024

SAKATA LA IMANE KHELIF
Imane Khelif (25) amewashtaki Elon Musk na JK Rowling kwa madai ya uonevu mtandaoni kufuatia sakata la jinsia katika Michezo ya Olimpiki 2024.

Imane Khelif amekuwa mwanamke wa kwanza kutoka Algeria kushinda medali ya dhahabu ya ndondi katika Michezo ya Olimpiki, Agosti 9, 2024.

Sakata hilo lilianza baada ya Khelif kuondolewa kwenye Mashindano ya Dunia ya Wanawake na Shirikisho la Ndondi la Kimataifa (IBA) kwa madai ya kushindwa kufaulu kwenye kipimo cha sifa za kijinsia.

=====For English Audience===========

Algeria’s Imane Khelif files harassment case after gender row​

Olympic boxing champion’s lawyer condemns ‘speculations fuelled by malicious individuals’ who posted grievances online.
Imane Khelif, the Algerian boxer at the centre of a gender dispute at the Paris Olympic Games, has filed a legal complaint against the social media platform X for harassment.

The gold medal winner’s lawyer said on Saturday that she filed the formal complaint in France. Khelif and another gold medallist, Taiwan’s Lin Yu-ting, have been at the centre of a high-profile dispute over gender identity that has provoked heated debate on social media.
Citing court documents, the French newspaper Le Monde reported that the boxing champion “filed a complaint against X” with the Paris correctional court, the national centre for combating online harassment.

Khelif’s lawyer Nabil Boudi said the complaint was filed on Friday.

“The boxer Imane Khelif has decided to begin a new fight, a fight for justice, dignity and honour,” he said in a statement as he announced the complaint for “aggravated online harassment … [had been filed] to Paris prosecutors”.

“All that is being said about me on social media is immoral. I want to change the minds of people around the world,” Khelif said.

Individuals in the complaint were described as “important political figures” with wide followings on X, the social media company owned by Tesla and SpaceX CEO Elon Musk. The posts targeting Khelif “exceeded 100 million views,” it added.

The speculation was “fuelled by malicious individuals,” Boudi said. “The investigation will determine who was behind this misogynist, racist and sexist campaign but will also have to concern itself with those who fed the online lynching.”
 
Back
Top Bottom