Laizer Peter
Senior Member
- Feb 19, 2013
- 130
- 24
wadau em nisaidieni kwa hili coz katiba niliyonayo mimi hapa mambo ya imani na uhuru wa dini yamezungumziwa ktk ibara ya 40 (1) nakuendelea.sasa hapa kuna utata coz wengne wanasema mambo ya imani na uhuru wa dini ipo ktk ibara ya 41.
Wadau Em Nisaidieni kwa hili coz KATIBA Niliyonayo mimi hapa MAMBO YA IMANI NA UHURU WA DINI Yamezungumziwa Ktk Ibara Ya 40 (1) nakuendelea.Sasa hapa kuna utata coz wengne wanasema mambo ya IMANI NA UHURU WA DINI Ipo ktk Ibara Ya 41.
Jamani nasisitiza kwamba tusiwadanganye na kuwapotosha watu na wasomaji wetu wa JF hapa, ukweli ni kwamba kuhusu suala la Uhuru wa imani ya dini, suala hili lipo Ibara ya 41.-(1) Kila mtu ana uhuru wa mawazo, dhamiri, imani na uchaguzi katika mambo ya imani ya dini na anao uhuru pia wa kubadilisha dini, imani yake au kutokuwa na imani na dini . Wakati Ibara ya 40 ya Katiba Inayopendekezwa kuhusu Uhuru wa habari na vyombo vya habari; (1) Kila mtu ana haki na uhuru wa: (a) kutafuta, kupata, kutumia na kusambaza habari na taarifa sahihi; na (b) kuanzisha vyombo vya habari na njia nyingine za upashanaji wa habari ."
Sasa hii katiba yangu ni ya wapi maana huo uhuru wa vyombo vya Habari ipo ktk ibara ya 39
em weka link ya iyo katiba yako hapa nii download
thanks
Tusipotoshe jamani kama hujajipanga ni vzr ukaa kwanz vzr ndio uingie humu jamii forumWadau Em Nisaidieni kwa hili coz KATIBA Niliyonayo mimi hapa MAMBO YA IMANI NA UHURU WA DINI Yamezungumziwa Ktk Ibara Ya 40 (1) nakuendelea.Sasa hapa kuna utata coz wengne wanasema mambo ya IMANI NA UHURU WA DINI Ipo ktk Ibara Ya 41.
Tusipotoshe jamani kama hujajipanga ni vzr ukaa kwanz vzr ndio uingie humu jamii forum
Sasa hii katiba yangu ni ya wapi maana huo uhuru wa vyombo vya Habari ipo ktk ibara ya 39
em weka link ya iyo katiba yako hapa nii download
thanks
Wadau Em Nisaidieni kwa hili coz KATIBA Niliyonayo mimi hapa MAMBO YA IMANI NA UHURU WA DINI Yamezungumziwa Ktk Ibara Ya 40 (1) nakuendelea.Sasa hapa kuna utata coz wengne wanasema mambo ya IMANI NA UHURU WA DINI Ipo ktk Ibara Ya 41.
Sasa hii katiba yangu ni ya wapi maana huo uhuru wa vyombo vya Habari ipo ktk ibara ya 39
em weka link ya iyo katiba yako hapa nii download
thanks
OHOOOOO! Hiyo Katiba yako umeitoa wapi Laizer Peter? Sasa soma hiyo hapo nakupatia maana unanitia mashaka kama una Katiba Inayopendekezwa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 239449
Kiongozi mi ninayo hard copy ila natafuta softcopy leo leo , sasa naomba uattach hiyo ulikuwa unaisoma ambayo baadhi ya wana JF wamesema haiko sawa tuione kama ni feki tusaidiane kuchukua tahadhari.
Hiyo yawezekana kaitunga yeye na wa kwao.
Naona mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe!
Na mimi natafuta kipemgele cha ukomo wa ubunge haya nyie wataalam wa katiba pendekezwa embu nionyesheni kifungu na mimi nisome!
Maana sisi wananchi tulipendekeza kue kuna ukomo wa ubunge
Nipe ufafanuzi wa Mbunge Zitto Kabwe kakaa kwenye ubunge kwa muda gani? afu ufanye utafiti wananchi wa jimbo lake wanampenda hawampendi? ukipata majibu ya wananchi njooo tukiweke!
Kwa hiyo kwenye katiba pendekezwa hamna?
Maana naona habari za Zito tu hapo.
Mnataka watu wawe wanazeekea kwenye uongozi? Viongozi wenye uroho wa madaraka wamevinyofuo vifungu vya ukomo kwa sababu ya uroho wa madaraka na nyinyi vibaraka mnashangilia tu!
Watu tunataka kue kuna mabadiliko sio kukariri kila siku viongozi haohao tu mpaka wanazeekea madarakani kwani wengine wanaofaa kua viongozi hamna?
USIEMPENDA KAJA
Wapi nimerudia maelezo yako kiongozi? Mbona hujibu hoja zangu?
Sasa hii katiba yangu ni ya wapi maana huo uhuru wa vyombo vya Habari ipo ktk ibara ya 39
em weka link ya iyo katiba yako hapa nii download
thanks