Imani nyingine Bwana zina kazi kweli hebu angalieni hiii picha

Imani nyingine Bwana zina kazi kweli hebu angalieni hiii picha

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr></tr><tr><td class="kaziBold" align="left" valign="top">
</td> </tr> <tr> <td align="center" valign="top">
04_10_akx9x6.jpg
</td> </tr> <tr> <td class="kaziBody" align="left" valign="top">Watoto wa jamii ya wafugaji katika Kijiji cha Msoga kata ya Lugoba mkoani Pwani wakila damu mbichi ya mbuzi. Jamii hiyo inaamini kuwa damu hiyo ni nzuri kwa watoto kwa kuwa inawaongezea damu mwilini. </td></tr></tbody></table>
 
Hii ni imani, desturi au mila?

Hii kitu kuna watu wanafanya poa sana si huja kwao.
Sasa kidini mwenzio sijui maana ndiko ubishi utakapokua.
 
kwani kuna issue gani hapo mkubwa? sio imani, ni swala la culture..........wamasai wanakunywa damu mbichi, hata baadhi ya koo cha kichaga.
 
mbona wakurya wanakula kinyesi cha ngombe wanaita kichuri, hamjasikia hiyo?
 
Hii ni imani, desturi au mila?

Hii kitu kuna watu wanafanya poa sana si huja kwao.
Sasa kidini mwenzio sijui maana ndiko ubishi utakapokua.

Mkuu kidini ni haramu kwa Dini zote mbili kuu yaani kwa wakristo na waislam ni haramu imekatazwa kula damu kwa ushahidi ni hapa Kumbukumbu la Torati/ Chapter 12 - 16. Lakini msiile damu; imwageni juu ya nchi kama maji.
5. SURAT AL MAIDA 3. Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.
 
Hakuna uhusiano wa imani hapa. Ni swala la lishe na ni la kawaida. Ukiondoa hatari ya kuambukizwa makonjwa kama TB vijana wanapata lishe poa. Hapa inakuja changamoto ya kuwaelimisha wanajamii wajue yale mazingira masafi ya asilia sasa hayapo na hivyo hatari ya magonjwa ipo kama ilivyo katika kunywa maji ya mtoni yasochemshwa. Kodi zao tunakusanya lakini kuwapa elimu hatujaweza.
 
Back
Top Bottom