Imani wameilinda

Imani wameilinda

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
IMG_2582.jpg
 
Acha porojo, we unaweza?
Hahahaha semenya wa ukaldayo unadhani naogopa kufa kwa ajili ya Yesu?

Ila dah tatizo wagalatia tukifa hamna ngono tena. Yani Yesu angetuahidi ngono tu maamae. Sasa tumeahidiwa tutatakula matunda tu nakutembea kwenye barabara zilizonakshiwa kwa dhahahab na kuingia kwenye milango 12 yenye nuru.

Bonge la mistake mwokozi alifanya kutukatalia kugegedana baada ya kudanja. Laiti angeahidi papuchi. Longtime singekuwepo Duniani.

Ila hata hivyo bado tu Yesu tunampenda na kumuabudu.
 
hao wana moto wao wa mafuta ya petroli, hawajui wanachoabudu.
 
Hahahaha semenyawa ukaldayo unadhani naogopa kufa kwa ajili ya Yesu?

Ila dah tatizo wagalatia tukifa hamna ngono tena. Yani Yesu angetuahidi ngono tu maamae. Sasa tumeahidiwa tutatakula matunda tu nakutembea kwenye barabara zilizonakshiwa kwa dhahahab na kuingia kwenye milango 12 yenye nuru.

Bonge la mistake mwokozi alifanya kutukatalia kugegedana baada ya kudanja. Laiti angeahidi papuchi. Longtime singekuwepo Duniani.

Ila hata hivyo bado tu Yesu tunampenda na kumuabudu.
😂😂😂😂😂😂🙌
 
Back
Top Bottom