flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Habarini wanajf, mimi nimjasiriamali ninabiashara ambayo ninaifanya yaani nimejiajiri. Biashara ninaifanya kwenye kibanda chachuma ambacho nilikichongesha
Niende kwenye dhumuni lahuu uzi, Leo nimefika kibandani nimekutana nahali yasintofahamu.... Nimekuta pale wanaposimamiaga wateja pindi ninapowahudumia kuna damu kama matonematone kama vile damu ilikuwa inachuruzika kutoka juu.
Hakuna dalili yoyote yakama kuna watu labda walizozana pale wakapigana yaani papo shwariii kabisa ila hiyo damu ndio najiuliza imetoka wapi?
Nisiwe muongo kiukweli mawazo yangu yameenda kwenye ushirikina kabisa.
Kama kuna muelewa wahaya mambo anisaidie kiukweli naukizingatia nisehemu yabiashara.