D Deleted member 485868 Guest Apr 26, 2018 #21 Kuweka vijiti saba mlangoni kwenu ili mzazi asahau kukuadhibu kama umefanya kosa
Pyepyepye JF-Expert Member Joined Jan 6, 2017 Posts 1,940 Reaction score 3,834 Apr 29, 2018 Thread starter #23 yna4 said: Ya kwanza sijui lini nitaiacha Click to expand... Hii imekuwa sehemu ya maisha ya kila mmoja aloifanya katika makuzi, maana inakujaga automatically
yna4 said: Ya kwanza sijui lini nitaiacha Click to expand... Hii imekuwa sehemu ya maisha ya kila mmoja aloifanya katika makuzi, maana inakujaga automatically