Juzi nilikuwa naangalia news bulletin kupitia Star TV, wakati wa kipindi cha michezo wakaonyesha clip ya mechi ya Simba vs Mtibwa wakati wakipeana mikono na mgeni rasmi, cha ajabu ni kwamba Amri Kiemba wa Simba alikataa kumpa mkono mgeni wa rasmi wa pambano lile. Hizi imani za ajabu zitakwisha lini???:sad: