juzi nilikuwa naangalia news bulletin kupitia star tv, wakati wa kipindi cha michezo wakaonyesha clip ya mechi ya simba vs mtibwa wakati wakipeana mikono na mgeni rasmi, cha ajabu ni kwamba amri kiemba wa simba alikataa kumpa mkono mgeni wa rasmi wa pambano lile. Hizi imani za ajabu zitakwisha lini???:sad:
kwaninin ukimbilie huko labda kamchukulia mke?
Mambo yapo wazi, sio mara ya kwanza, na bahati nzuri I was once a footballer so nayajua hayo mambo. Katika normal circumstances huwezi ukakataa kusalimiana na mgeni rasmi!wabongo aka wa-TZ ni sie wenyewe tunalea imani... yani wewe cha kwanza umedhani ni uchawi... dah