Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

Imani za kishirikina kwenye timu ya Taifa

Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje

Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa

Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?

Aisee inasikitisha Sana
Wewe ndiye mwenye imani ya kishirikina, ni nani aliyekwambia kuwa kuutoa mpira ni jambo la kishirikina? Kuna uhusiano upi hilo jambo na ushirikina?
 
Wewe ndiye mwenye imani ya kishirikina, ni nani aliyekwambia kuwa kuutoa mpira ni jambo la kishirikina? Kuna uhusiano upi hilo jambo na ushirikina?
Hili pia tunapaswa kumuuliza mleta mada.
 
Mtume Muhammad (SAW) alisema:
"Je, niwaambieni kuhusu madhambi makubwa kabisa? (Akarudia mara tatu). Ni haya: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, kuwaasi wazazi, na kutoa ushahidi wa uongo."
(Bukhari na Muslim)
umekuwa maarufu sana humu kwa uislam wako, huenda we ni msomi wa kiislam
 
umekuwa maarufu sana humu kwa uislam wako, huenda we ni msomi wa kiislam
Mimi ni msomi wa dunia, masomo ya secular nimesoma kweli, humu Jf katika member 10 waliosoma basi pengine nitakuwa namba 5 au 6 , uislam ni ninaujua kidogo sana
 
Kwenye vita aijarishi unatumia mbinu gani cha muhimu ushinde kama kuloga loga tena sana kama ujuzi basi kuwa nao wa kutosha
 
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje

Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa

Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?

Aisee inasikitisha Sana
Mlikuwa mnashinda makanisani na misikitini, na hatukuwa tunashinda. Sasa tumegeukia mizimu yetu USHINDI UNAPATIKANA. Ninyi wenyewe ni washirikina wakubwa, maana mnashirikisha mizimu ya kigeni na ile yetu.
 
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje

Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa

Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?

Aisee inasikitisha Sana
sahihi kabisa kazi hiyo nimefanya sana
 
Acha kabisa, Kuna wazee kwamsisi huko handeni baada ya Taifa stars kupata bao moja wakasema "Baaaasi kazi Kwisha, Kwa kuwa mmepata moja basi dakika zilizobaki tuachieni sisi", na watu wakaambiwa nendeni mkaendelee na shughuli zenu tena zimeni TV zenu hapa Ngoma imeisha...Tuna kazi kubwa kama taifa.
 
Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje

Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa

Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?

Aisee inasikitisha Sana
Mradi imefudhu dua zako hazikukubalika hayo mengine ni yako!
 
Wamejifunza kwa yanga hayo mambo wana miaka minne hawajapita geti kuu lakini pia wakianza wao kwenye derby wanatoa mpira nje.
 
Back
Top Bottom