technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Wewe ndiye mwenye imani ya kishirikina, ni nani aliyekwambia kuwa kuutoa mpira ni jambo la kishirikina? Kuna uhusiano upi hilo jambo na ushirikina?Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Aisee inasikitisha Sana
Wafanye lolote timu ifuzu...
Hili pia tunapaswa kumuuliza mleta mada.Wewe ndiye mwenye imani ya kishirikina, ni nani aliyekwambia kuwa kuutoa mpira ni jambo la kishirikina? Kuna uhusiano upi hilo jambo na ushirikina?
umekuwa maarufu sana humu kwa uislam wako, huenda we ni msomi wa kiislamMtume Muhammad (SAW) alisema:
"Je, niwaambieni kuhusu madhambi makubwa kabisa? (Akarudia mara tatu). Ni haya: Kumshirikisha Mwenyezi Mungu, kuwaasi wazazi, na kutoa ushahidi wa uongo."
(Bukhari na Muslim)
Mimi ni msomi wa dunia, masomo ya secular nimesoma kweli, humu Jf katika member 10 waliosoma basi pengine nitakuwa namba 5 au 6 , uislam ni ninaujua kidogo sanaumekuwa maarufu sana humu kwa uislam wako, huenda we ni msomi wa kiislam
Mlikuwa mnashinda makanisani na misikitini, na hatukuwa tunashinda. Sasa tumegeukia mizimu yetu USHINDI UNAPATIKANA. Ninyi wenyewe ni washirikina wakubwa, maana mnashirikisha mizimu ya kigeni na ile yetu.Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Aisee inasikitisha Sana
sahihi kabisa kazi hiyo nimefanya sanaKila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Aisee inasikitisha Sana
Mradi imefudhu dua zako hazikukubalika hayo mengine ni yako!Kila wakianza mechi wanatoa mpira nje
Imani za kishirikina zinaitafuna timu ya Taifa
Miaka hii ya karne ya 21 bado mnaamini Imani za kishirikina ?
Aisee inasikitisha Sana