Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Maadui wenu mnawafahamu ila mnawakalia kimya kwa nini?
Imani zenu za kimila na kidini ni za kazi gani sasa?
Mnashindwa kuwa shughulikia kimila mmoja baada ya mwengine maana madaraka ya kuwa umiza wanayo sasa kilichobaki ni nini? Washughulikieni kwa jadi uone kama watafanya ujinga tena juu yenu.
Imani za kidini mnazo na mafundisho ya imani zenu yana hadithi ndani yake ambazo watesi walishughulikiwa haswa na kuangamizwa ya farao hamuyakumbuki?
Njia ni mbili tu za kudili na wanao jiona wababe wa kimwili ni kudili nao kimila/kijadi ama kidini kazi kwenu.
Mpaka lini mtaendelea kuwa wanyonge juu yao?