INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

INAUZWA Imarisha afya yako ukiwa nyumban na mashine za mazoezi

hatym

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
513
Reaction score
178
ubusy wa kazi unafanya tusahau sana afya zetu,foleni barabarani unafika nyumban muda umeenda na unashindwa kutoka na kwenda gym au kukimbia barabaran, lakini vipi ukiwa na mashine ya kukimbia nyumban kwako na ukatumia dakika 25 mpaka 45 jioni au asubuhi kabla ya kutoka?

Utakuwa umefanya uwekezaji mkubwa sana wa afya yako

Karibu upate mashine za kukimbia bora kwa gharama nafuu kabisa

Wasiliana nasi
0758728258
Tutakuletea mpaka ulipo na kukufungia
Malipo utafanya ukiwa nyumban
Hii inabeba mpaka uzito wa kilo 110kg
Speed mpaka 14km/h
Inapima vipimo muhimu kama mapigo ya moyo, mafuta ulochoma,mwendo unaokimbia na muda
Bei ni ya offer kutoka 1,800,000 mpaka 1,550,000 tu

333bfb59-d796-4934-b055-424e330a59b6.jpeg
333bfb59-d796-4934-b055-424e330a59b6.jpeg
1bfda5cc-b080-4510-820d-fac8bb618572.jpeg
a6ed7182-7faf-4ebd-95dd-c07f6dd59c1c.jpeg
 
Hii inabeba mpaka kilo 140kg
Ina muongezeko wa vitu vya ziada kama massager kwa ajili ya kutibu maumivu ya misuli na uchovu, ina sit up lock kwa ajili ya kufanya mazoezi ya tumbo, ina spring maalum kuondoa maumivu ya miguu , na dumbell za kukimbilia, bila kusahau waist twist kukusaidia kuondoa nyama za pemben ya kiuno
Treadmill hii utaipata kwa offer kutoka 2,400,000 mpaka 2,050,000 Tu
IMG_9058.jpeg
IMG_9045.jpeg
2cbe0118-dd6b-4f19-b2ff-062283fa9643.jpeg
57c670ef-bb2f-491e-87b8-a44af52ed92d.jpeg
01605e43-d692-49dc-86c4-284acea1489c.jpeg
b40c2593-0b7d-474e-9591-77d36964170a.jpeg
 
Hii ni kwa Daslam tu au hata mikoani?
Hii ni kwa dar es salaam mkuu, mikoani bado hatujaanza huo utaratibu , mikoani tunatuma moja kwa moja kupitia mabasi na magari ya mizigo kuja mkoa husika
 
Nipo interested na ile mashine isiyozidisha kilo 120
 
Hamna ya milion moja.
 
Back
Top Bottom