Imarisha nguvu za kiume hapa

sina demu

Senior Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
165
Reaction score
98
Habari za hasubuhi wadau natumaini wazima

Uzi nilikua niulete kwenu siku nyingi lakini nikakosa muda
Achaniandike kwaufupi stori nyingi zinachosha, kamaunashindwa kurudi tendoni mara ya pili basi fanya hivi:

1* Tumia ungawasoya vijiko viwili kilaunapo kunywa chai au uji muda wowote au unaweza ukauchanganya na unga wa ugali pale unapo pika ugali kwani ugali unakua mtamu sana,kipimo siwezi taja sababu mimi nilikua nikitumia kila nikinywa chai na uji wa dona


2* Mazoezi ya kegel - naamini hakuna mtu ambae hayafahamu na kama hufaamu rejea nyuma kunawatuwengi wameyaelezea

3* Achapunyeto wakati unatumia hii dozi hutoona matokeo kama unaendeleza ila kama wewe nimuanga nahauwezi acha, piga Mara moja kwamwezi natafuta demu ambae atakuhudumia tendo marambili kwa mwenzi .Kwanini marambili sababu wewe nimuanga nahata mtuanae pigamzigo kila Mara lazima awe na upungufu mtumie kistaarab kaambali nawanafunzi nihatari kwamaisha yako

4*Fanya mazoezi epuka kulalia chips na Pepsi nadhani wanadar es salaam mmeniskia sauti inatosha .Kwamazoezi kama upo mkoa wa Arusha Tell: 0692422869/062666038

5* Nisiandike vingi sababu mimi nilivyovifanya ndohivyo nasisitiza mazoezi nimuhimu .Kwanini nimeweka namba Mimi nilishndwa kufanya mazoezi mwenyewe nikaamua kutafuta mwalimu atakae nifandisha mazoezi nitakapo toka kazini kwakweli nilipata msaada mkubwa sababu ya kampani yawenzangu ambao tunafanyanao mazoezi namwishowe nakosamuda wakukaa mwenyewe nanikirudi geto unakuta nimechoka nakula usingizi mpaka keshoyake.

Msisitizo mazoezi yakegel yanahitaji moyo


Mwisho, tuliza akili nakunywa maji mengi
 
Bro soma ulichoandika neno kwa neno.
 
Ushauri mzuri. Lakini mwandiko wako umekupunguzia marks. Jitahidi uwe unaandika mwandiko wenye busara.
 
Wewe unahitaji kuimarisha nguvu za akili kabla ya kuhamia kwenye nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…