State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni:
1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati
2)Kulipa msaada wa jeshi la Zelensky ili liweze kujipanga upya.
Tarifa hiyo inasema NATO imepanga kupeleka wanajeshi wapato 100,000 watakaotumia mwamvuli wa "walinzi wa amani" ili kutimiza adhma yao ya kudhibiti nchi ya Ukraine kama ifuatavyo:
* Pwani ya Bahari Nyeusi- itadhibitiwa na Romania
*Mikoa ya Magharibi — itadhibitiwa na Poland
*Mikoa ya Kati na Mashariki —itadhibitiwa na Ujerumani
*Mikoa ya Kaskazini, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya Ukraine (Kiev)- yatadhibitiwa na Uingereza.
Endapo kama Putin hatoitwaa Ukraine nzima sasa kwa kubadili malengo ya special military operation yake, basi kuna kila dalili maadui zake wakamzidi maarifa.