Imebainika: NATO wanataka kumhadaa Putin kukubali kusitisha mapigano na kisha kugawana Ukraine kwa kutumia mwamvuli wa kupeleka majeshi ya kulinda ama

State Propaganda

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2024
Posts
542
Reaction score
1,286
Majasusi wa Urusi wamebaini mpango wa siri unaosukwa na mataifa ya Magharibi yanayopanga ku "freez" mzozo kwa a fake "cease fire deal"na kisha kutumia muda huo kisha kupeleka majeshi yake ya kulinda amani ambayo lengo lake kuu ni:

1) Kugawana maeneo ya Ukraine kimkakati

2)Kulipa msaada wa jeshi la Zelensky ili liweze kujipanga upya.

Tarifa hiyo inasema NATO imepanga kupeleka wanajeshi wapato 100,000 watakaotumia mwamvuli wa "walinzi wa amani" ili kutimiza adhma yao ya kudhibiti nchi ya Ukraine kama ifuatavyo:

* Pwani ya Bahari Nyeusi- itadhibitiwa na Romania

*Mikoa ya Magharibi — itadhibitiwa na Poland

*Mikoa ya Kati na Mashariki —itadhibitiwa na Ujerumani

*Mikoa ya Kaskazini, ikiwa ni pamoja na makao makuu ya Ukraine (Kiev)- yatadhibitiwa na Uingereza.

Endapo kama Putin hatoitwaa Ukraine nzima sasa kwa kubadili malengo ya special military operation yake, basi kuna kila dalili maadui zake wakamzidi maarifa.
 
Wakigawana maeneo ya Ukraine , yeye Urusi inamuhusu nn ? Ebu muwe mnatumiaga akili muda mwingine mmekuwa kama wajing hv
 
Offcorse wakigawana watakuwa wamefanikiwa azma yao ya kuweka majeshi/vitu yao karibu kabisa na urusi hivyo itakuwa rahisi kuanzisha mashambulizi kutokea vituo hivyo
Unahisi NATO hawapo krb na Urusi mpk wapitie Ukraine ? Muwe mnafanya haya utafit , hizi propaganda za vijiweni mnapeana hata hamjiongez
 
Offcorse wakigawana watakuwa wamefanikiwa azma yao ya kuweka majeshi/vitu yao karibu kabisa na urusi hivyo itakuwa rahisi kuanzisha mashambulizi kutokea vituo hivyo
Finland inapakana na Urusi na imejiunga NATO. Kwanini Urusi isihisi ni rahisi kushambuliwa kutokea uko na mbona haijaivamia Finland?
 
Wewe uko wapi? Yaani unaongelea kutoka Poland, Belarus, Georgia au sehemu gani? Maana unajua mambo mengi kuwazidi KGB
 
Njia ngumu sana hiyo,hakuna kitu
Wakati watu wengi bado wakidhani ya kuwa hii ni conspiracy theory, mambo yanazidi kujidhihirisha baada ya Trump kusema haya leo.

Trump wants EU to send troops to Ukraine – report

US President-elect proposed that EU send peacekeepers to Ukraine to monitor a potential ceasefire with Russia, the WSJ reported.

Trump argued that “Europe” should be the key player in monitoring a ceasefire and that no US troops would be involved, the Journal reported, citing “officials briefed on the meeting.”

#Chanzo : Wall Street Journal
 
Offcorse wakigawana watakuwa wamefanikiwa azma yao ya kuweka majeshi/vitu yao karibu kabisa na urusi hivyo itakuwa rahisi kuanzisha mashambulizi kutokea vituo hivyo
Hakuna nchi yoyote ya NATO inayotaka kuishambulia Urusi. Hata hii vita ni Urusi iliyoianzisha. Kama majeshi ya NATO yakiingia Ukraine,.labda ni kwaajili ya ulinzi dhidi ya mashambulio ya Urusi.
 
.

BREAKING NEWS
🇷🇺🇺🇦 Russia is not satisfied with proposals from Trump's allies to delay Ukraine's NATO membership by 20 years and deploy European and British peacekeepers, Russian Foreign Minister Sergey Lavrov said in an interview with TASS.

Earlier, Russian authorities stated that they demand permanent neutrality for Kiev and oppose the deployment of foreign troops on Ukrainian territory.
 

Akiitwaa Ukraine nzima itacomplicate mission yake ya kuteka eneo la donbas, maana siku anarudisha mamlaka kwa Ukraine itakuwa ngumu kurudisha eneo chache!.
 
Russia won’t make concessions on Ukraine in NATO – Lavrov

The conflict must be settled through legally binding agreements that eliminate its root causes, the foreign minister has said

Foreign Minister Sergey Lavrov has said Russia will not agree to a mere postponement of Kiev’s NATO membership, or to the deployment of European peacekeepers to Ukraine – two ideas reportedly proposed by advisers of US President-elect Donald Trump, as part of a potential peace deal.

In an interview with TASS news agency published on Monday, Lavrov said Russia has not received any signals from Trump’s team regarding talks to resolve the Ukraine conflict.

“We have always been and remain ready for negotiations. But it is important to understand with whom and about what to conduct them,” he stressed.

Lavrov said that if discussions with the next US administration take place, Moscow will not accept the proposals reported in the media, coming from members of Trump’s team.
 
Hakuna nchi yoyote ya NATO inayotaka kuishambulia Urusi. Hata hii vita ni Urusi iliyoianzisha. Kama majeshi ya NATO yakiingia Ukraine,.labda ni kwaajili ya ulinzi dhidi ya mashambulio ya Urusi.
Ila Watanzania Kwa ujuaji!,utadhani tuna akilia sana kuwashinda wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wa Urusi.
 
Wafanye watakavyofanya VITA IISHE!
It's costing too many lives and infrastructure!
Enough is enough!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…