Imedhirika kuwa Zahera si kocha

Imedhirika kuwa Zahera si kocha

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali sasa mambo yamekwama amepagawa
 
kwa kweli Zahera anasikitisha sana,mtu mwenye weledi hawezi kufanya hivyo,pia hizo media alizoongea nazo nao ni wapuuzi zina watu wa Simba sc mfano Clouds fm yupo shafidauda wa simba pia efm masoud maestro wa simba na lengo lao kuivuruga Yanga!
these guys are idiots!!
 
Kwani anavunja Sheria ipi.
Kama Binadamu ana Uhuru wa kufanya chochote.
Mnataka kumfuatilia hadi maisha yake binafsi.
 
Hamna kocha pale ndiyo maana hata Congo timu ya taifa kwa sasa haileweki kabisa si Congo tunayoifahamu na ndo maana toka aje yanga mpira wa yanga umekufa kabisa
 
sasa hivi amekuwa sio kocha wakati mlivaa hadi vipensi kumuunga mkono alipokuwa anasema Simba inabebwa wote mlimsapoti leo ndio mnamuona msanii kama hamtaki ayaanike madhaifu yenu mpeni chake aondoke
 
kwa kweli Zahera anasikitisha sana,mtu mwenye weledi hawezi kufanya hivyo,pia hizo media alizoongea nazo nao ni wapuuzi zina watu wa Simba sc mfano Clouds fm yupo shafidauda wa simba pia efm masoud maestro wa simba na lengo lao kuivuruga Yanga!
these guys are idiots!!
Watashindana sana lakini hawatashinda
 
Kumbuka alipo itoa Yanga, hii timu ilikuwa inashuka daraja
 
kwa kweli Zahera anasikitisha sana,mtu mwenye weledi hawezi kufanya hivyo,pia hizo media alizoongea nazo nao ni wapuuzi zina watu wa Simba sc mfano Clouds fm yupo shafidauda wa simba pia efm masoud maestro wa simba na lengo lao kuivuruga Yanga!
these guys are idiots!!
Weeee shafii dauda hatumtaki hata bure
 
Kwani anavunja Sheria ipi.
Kama Binadamu ana Uhuru wa kufanya chochote.
Mnataka kumfuatilia hadi maisha yake binafsi.

Asome historia ya Tambwe Leya wa Yanga na Camara wa Simba.... walipewa saa 24 kuondoka Tanzania...sitashangaa hii ikimtokea huyu Zahera...football ni politics...Na hiki ni kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa...watch out...
 
Toka mechi ya township rollers nilisema zahera sio kocha. Kocha gani anafanya usajili timu inajiandaa na mashindano ya kimataifa hafiki kufundisha anakula bata . Usajili hajui kufanya ela alipewa za kutosha.
Tanzania wapo wachezaji wazuri anaenda nje kupoteza Ela za bure sijui alikuwa anampango gani
 
Baada ya kuondolewa Yanga amebaki anazunguka kwenye vyombo vya habari kila kukicha nambieni kocha yupi duniani aliondolewa akaanza kuzunguka zunguka kwenye media kinachoonekana alikuwa dalali sasa mambo yamekwama amepagawa
Mpeni hela alizokuwa anawakopesheni.
Yanga Ni timu ya hovyo kabisa, hakika mnastahili udumavu mlionao wa kutokuwa na uwanja licha ya Kwamba ndio klabu kongwe zaidi nchini.
Mmekosa watu wenye maono na nia ya dhati ya kuifanya yanga iwe timu kubwa.
 
Nakubali uyu hakuwa kocha, Maana hata namna ya upangaji wa timu alishindwa sidhani Yanga ilisajir wachezaji wabovu kiasi hicho mchezaji ukilazimisha acheze namba isiyoyake lazima ataonekana mbovu tu hata kama ana kiwango kizuri
 
Back
Top Bottom