Imeelezwa kuwa Ole Sabaya anaumwa, kesi yaahirishwa hadi tarehe 4/11/2021

Karma itakiwa imeanza kumtafuna,usishangae akishindwa kutokea mahakamani,akafie mbali.

#Mbowe si gaidi#
May be! Hata hiyo ya Mbowe ikawa karma, tutajuaje.[emoji848]
 
lazima augue kwa kuona video yake akichota maburungutu bank
 
Wakili mahuna huyu ndugu yangu ameamua kusimamia upande wa muhalifu duh!!
 
Halafu amekonda sana
Ilipoanza alikuwa anachukulia pouwa. Unaingia kwa mbwembwe na visuti . Full tabasam ngoja anyolewe kwa wembe na maji sasa.
Ukiambiwa kaue unaua.
Hahahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ