Mimi nilisema humu, ikichunguzwa itakutwa Chadema ndio waliouwa ili tu, kutimiza siasa zao za ubaguzi na uchochezi.
Hata iwe ni askari ndio waliouwa, still, kama ni askari huwezi kukaa na silaha wakati watu wanakuja kukufanyia fujo na wanataka kukivamia kituo cha polisi, kwa hilo askari wana haki zote. Na waliouwa ni wale waliowatuma hawa ma-mbumbumbu waende kituoni wakati wao (wajanja) wameingia mitini, kama mahodari, si hao viongozi ndio wangetangulia mbele? lakini walijuwa hapa kuna shaba, wakawaacha "wajinga ndio waliwao" watangulie mbele, duhh.