Imefahamika msanii maarufu diamond alilipwa tsh 10,000/- tuu fiesta...

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2009
Posts
1,232
Reaction score
442
Msanii maarufu kwenye tasnia ya muziki kwa sasa DIAMOND alilipwa tsh 10,000/- tuu katika FIESTA 2009 ambapo alifanya show Kali iliokubalika na wadau wa muziki Tanzania. Hayo amebainisha mwenyewe wakati akihojiwa na gazeti Mwanaspoti Tanzania tarehe 7-Nov-2013, ambapo malipo kamili ilikuwa tsh 50,000/- tuu,
yeye pamoja na wacheza show wake wanne ambapo kama utagawanya sawa kwa kila mmoja utapata kiasi cha shilingi kumi elfu tuu 10,000/-.
Show hiyo iliokuwa na msanii toka America buster ryhims ambayo ilijaza watu sana Mimi mwenyewe nikiwemo.. ilihusisha wasanii wengine wa Tanzania, waliokuwapo ni pro Jay, malow, Cpwaa, B band nawengineo.
My take.. kumbe ndo maana bifu aziishi na wazee wa maghorofani kama uhuni wenyewe uko hivi nahisi kizunguzungu, Nb, mkiona msanii anaomba msaada mpeni bila kinyongo wala maswali,vinginevyo wote tuwanafikii tuu..
 
mbona wana magari?au ndo kuuza sembe
 
Duu hii hatari sana. Nashindwa kupata picha nikisikia wasanii 46 kwenye tamasha mmoja alaf wanalipwa vipi.
 
Niliwahi kusikia huyo daimond bila mil 5 hapandi steji.
 
ila nae ana timu kubwa,,,kwa hio salio lake laweza kuwa lakawaida na si kama anavyodai

Leta slip za malipo acha uhuni wakati ule wengine walisema hivyo hivyo kumbe promo tuu hebu tuwe na uhalisia kidogo...
pamoja na documents za makato ya kodi maana naskia tu 10ml,,,sasa sijui ni net ama gross.....
 
Niliwahi kusikia huyo daimond bila mil 5 hapandi steji.

dada ang hat ww mwnywe ungefeel sad coz anavyosema diomond kwa jinsi alivyokuw amejianda kwa muda mrefu ndo matokeo akapewa 50000 yeye ma dancers 6 inavunja moyo sana kwa kweli clouds fm ni watesaji
 
Hongera Mawingu FM. Tumia ujinga wao kujinufaisha.
 
Msanii maarufu kwenye tasnia ya muziki kwa sasa DIAMOND alilipwa tsh 10,000/- tuu katika FIESTA 2009 ambapo alifanya show Kali iliokubalika na wadau wa muziki Tanzania. Hayo amebainisha mwenyewe wakati akihojiwa na gazeti Mwanaspoti Tanzania tarehe 7-Nov-2013, ambapo malipo kamili ilikuwa tsh 50,000/- tuu,
yeye pamoja na wacheza show wake wanne ambapo kama utagawanya sawa kwa kila mmoja utapata kiasi cha shilingi kumi elfu tuu 10,000/-.
Show hiyo iliokuwa na msanii toka America buster ryhims ambayo ilijaza watu sana Mimi mwenyewe nikiwemo.. ilihusisha wasanii wengine wa Tanzania, waliokuwapo ni pro Jay, malow, Cpwaa, B band nawengineo.
My take.. kumbe ndo maana bifu aziishi na wazee wa maghorofani kama uhuni wenyewe uko hivi nahisi kizunguzungu, Nb, mkiona msanii anaomba msaada mpeni bila kinyongo wala maswali,vinginevyo wote tuwanafikii tuu..

Watu wanaojali maslahi na ustawi wa wasanii kama wewe ndio wakombozi wa wasanii....sio hawa maclouds.

Hapa kwetu Namtumbo kuna wasanii kibao wananisumbua kweli...yaani ungenipa contact zako wakicheki ili uwaunganishie hata show moja, popote..... wasilipwe chochote...usafiri na malazi watajitegemea.

Usisahau hizo contact aisee...tuwatoe wasanii gizani....clouds wanatuchosha.
 
Back
Top Bottom