Imefika wakati viongozi na wafuasi wa CHADEMA kusikiliza hata wanaofikiri ni wajinga

Imefika wakati viongozi na wafuasi wa CHADEMA kusikiliza hata wanaofikiri ni wajinga

witacha matiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
722
Reaction score
237
UMOFIA wana Jukwaa!
Kumekuwa na malumbano ambayo yamegeuka" symbolize high level of ignorance" kuwa Ujuha.

I expected as a strong political party to bring cream people to its members without this nonsense & stupidity. CHADEMA hakijafikia level za Chama cha Mapinduzi huku tunazinguana kwa sababu ya UKOMAVU na kuwa na watu ambao wakijitokeza ni lazima wasikilizwe na Chama kinasonga mbele though we learn something from that misunderstanding/ controversial, this is contrary to opposition hawana watu/ wazee wanaopaswa kusikilizwa wafuasi wengi hawajui kama Mzee Mtei ndio mwanzilishi wa hicho chama.

Leo uchaguzi wa ndani umetengeneza makundi je wakipata dola will take one year to make decision who's going to be Prime Minister, Speaker etc.

Honestly mna- behave vibaya kama waroho wa madaraka kama MBOWE hajasema anataka kugombea lakini wachumia tumbo wanahangaika nae katulia hivi kama Mzee Mtei na Makani wangekomaa lini yeye angepata uenyekiti na alitoa ahadi kuwa 2023 angeachia nafasi abaki kama mshauri wa Chama.

Kaka yangu Zuberi Kabwe is the best politician, exemplary leader he does what he says & abide with ACT-WAZALENDO's Constitution sio kuwa kigeugeu. Ulisema utaachia Leo kimya oooh wana- CHADEMA na viongozi Wangu waseme ondoka. This is radical & hegemonial politics, just be a man follow your words. Na kama unagombea sema ili wafuasi wajimalize sio kusikilizia upepo.

Leo watu wanashauri (baadhi kwenye social media) kumchangia John Heche ili kupunguza uhasama wa makundi ndani ya Chama. Kuwa Heche anahitaji kuchangiwa ili agombee uenyekiti awe Chairman ambaye hawezi/ hana maarifa ya kupata pesa ya fomu labda kama ni mapenzi.

I wonder wana- CHADEMA mnasigina hata kusahau kufanya kazi za chama kwani Mh. MBOWE katangaza kugombea how do you know kama yupo side ya Mh. LISSU. Wale mnaomshambulia Lissu kisa MBOWE kesho akisema hagombei mtahama chama au mtaacha kufanya siasa? Kwani Lissu kuwa Chairman kuna shida gani? MBOWE we know him years over years, amekuwa chairman wengine tukiwa primary hadi Leo tunaingia kwenye vikao vya wazee he has had good time as chairman so let's others lead if possible.

Soma Pia: Tundu Lissu: Nimewasilisha kusudio la kugombea nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA

Sioni maana watu mlioaminika mnatupiana vijembe na matusi kisa MBOWE na Lissu, ninachojua wote ni top leaders MBOWE 2005 aligombea Urais wa Nchi pia Lissu 2020 aligombea wote almost share the same hegemony & hierarchy. I hate the statements from Lema & Heche " oòoooh Watanzania wapo busy kushangilia Simba na Yanga" so washangilie this idiotic, hates , shambolic & mockery politics.

Ushauri wangu viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao punguzeni ujuaji maana nyie kila kitu mnakijua be ignorant sometimes to earn positive energy from even illite people, they've something special..
 
Ukimya wa Mbowe ndiyo unazodisha huu mtufuano na cha kushangaza ni kuwa maccm wameungana na chawa wa Mbowe kumshambulia Lissu. Na kama kweli atagombea na akarudi kuwa mwenyekiti mimi ni mmoja wa watakaojiondoa kwenye chama hiki. Na jua Mbowe ana busara na ana uwezo wa kujenga hoja ni wakati wa kutuliza huu mtafaruku.
 
Chadema wamenidisapoint mnooo,wakati wa vita wanaanza kujigawa! Kuitoaa sisiem ni mpaka 2100
 
Back
Top Bottom