Kwa Habari ya uaminifu ktk ndoa nionavyo mimi ni kwamba watu HAWANA HOFU YA MUNGU ndani ya mioyo yao
Tuna tafuta sababu mbalimbali za kuhalalisha , mara mume hanitunzi , mara mke hanijali , haniheshimu, Vyote ni visababu tu
TUWE NA HOFU YA MUNGU NDANI MWETU Ndipo tutaona mabadiliko
MUNGU ATUFUNULIE HAYA ili TUISHI KAMA INAVYOMPENDEZA YEYE