Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmhh!!imekaa vizuri,oa kwa sherehe kubwa mno kama vp nialike.
Jambo jema na la maana kwanza unatakiwa umuweke wazi dada mtu kuwa kwa sasa wewe ni shemeji yake na hukuwa na nia mbaya wakati unajaribu kumtongoza maana anaweza kuja sikia na kuleta balaa hata la kizushi kwa mdogo wake kuwa nae uliwahi kula,kama mwenzi wako ni muelewa basi nae yafaa umwambie ukweli wa kilichotokea ili kusiwe na mashaka pale dada mtu atakapoleta balaa zake.Umefukuzia kutaka kumwoa dada mtu, kakuchomlea. Baadaye uNagundua anamdogo wake ambaye alikuwa hata hajui ya dada ake, unamsomesha anakubali . Je kumchumbia mdogo mtu wakati dadamtu kakuchomolea haitaleta balaabalaa?
Umefukuzia kutaka kumwoa dada mtu, kakuchomlea. Baadaye uNagundua anamdogo wake ambaye alikuwa hata hajui ya dada ake, unamsomesha anakubali . Je kumchumbia mdogo mtu wakati dadamtu kakuchomolea haitaleta balaabalaa?
Ina maana ulikuwa unafanya trial and error, huyo dada mtu hukumpenda in the first place. Dah! Wanaume kwa kurusha ndoano! Anyways yote heri, endelea na owa, ila make sure haumtendi huyo mdogo mtu, Coz watakushukia hadi utabroo mapigo!
Sikuwa na jaribu, kwa jinsi nilivyo mpenda dada mtu , nimeamua nisitoke nje ya jamii yake. kuhusu kumtenda mdogomtu usiwe na hofu, Nina MBA (Bikra management and security)
hujamjibu badojf is never boring....