Imekaaje hii wadau?

JM inc

Senior Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
112
Reaction score
54
NI KIGEZO GANI CHA KUTOFAUTISHA
MATOKEO HAYA YA WANAFUNZI WA KIDATO
CHA NNE KIMETUMIKA???
Kinachonishangaza sana na kunisikitisha ni
hiki hapa.
Kuna wanafunzi wana-alama (points) 42
wamepewa Div.0, na kuna wanafunzi
wanapointi 46 wamepewa Div. IV,
Kuna waliopata points 43 wamepewa
Div.IV, na wengine wamepata points 43
wamepewa Div. 0
hii sio kawaida ni zaidi ya uchakachuaji.
UCHAMBUZI KWA KIFUPI HUU HAPA,,!! Kuwa
makini uone utofauti au usawa wa points
ila utofauti wa ufaulu.
Na kwanini mabadiliko haya yaje, kwa
manufaa ya nani baada ya Bunge kukataa
upuuzi huu???
SHULE YA SEKONDARI WIGAMBA YA MBEYA
MJINI- ENEO LA ISANGA- MFANO WA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
No. ya Mtahiniwa, Points. Division
S3133/0088 45 IV
S3133/0082 45 0
S3133/0092 42----------------- 0
S3133/0095 43----------------- 0
S3133/0099 44-----------------0
S3133/0100 42------------------IV
S3133/0101 43------------------IV
S3133/0103 44------------------IV
SHULE NYINGINE YA JINA LA MH. NCHIMBI
------------------------------------------------------------
-------------------------------------
DR. NCHIMBI SEC. SCHOOL
S1877/0001 43--------------------IV
S1877/0003 43-------------------IV
S1877/0006 46-------------------IV
S1877/0007 46-------------------IV
S1877/0028 44------------------IV
S1877/0037 45------------------0
Ndugu Watanzania wenzangu, mimi naona
haya ni maafa kuliko UKIMWI, NA TSUNAMI
ukilinganisha na anguko hili.
Tujiulize, na tutafakari kwa ufasaha kisha
tutumie busara kusaidia Taifa letu kwani
linatufia kutokana na kuwafumbia macho
mafisadi wakichakachua matokeo ya
uchaguzi, hadi matokeo ya elimu za ndugu
zetu ambao sasa wengine wanajichoma
visu, na hata kujitia vitanzi kutokana na
mafisadi wachache wanaotesa Taifa letu.
MASWALI,,??
Ni kigezo kipi kimetumika kuchukua mfumo
huu wa kupanga matokeo??
Mfumo huu umekuwa bora wapi, na katika
nchi ipi iliyoendelea??
Je, utafiti gani ulifanyika ukaridhisha kuwa
mtindo huu wa kupanga matokeo utakuwa
na tija kwa taifa kuliko uliokuwepo awali?
Kama utafiti ulifanywa, nani alifanya na
matokeo yake yaliripotiwa kwa nani?
Je, bunge la Jamhuri lilihusishwa na
kuidhinisha utaratibu huu??
CCM INATUMALIZA KABISA, KABISA,,,!!!
MUNGU ATUSAIDIE ILA NI MUHIMU SANA
SOTE TUSHIRIKI KULETA MABADILIKO NCHINI
PETU.
------------------------------------------------------------
------------------------------------------
ONA MATOKEO YA WANAFUNZI HAO
NILIOWATOLEA MFANO KWA UNDANI
UKIFUATA NAMBA ZAO UONE UFAULU WA
KILA MMOJA NA POINTS WALIZOPEWA NA
UTOFAUTI MA MADARAJA WALIYOPEWA.
Ukitaka kujiridhisha zaidi ingia kwenye
tovuti ya NECTA uhakikishe ninachokisema
hapa kisha tusaidiane kudai haki.
....................................................................................................
.............................
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF
TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
S1877 DR. NCHIMBI SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0 DIV-II = 4 DIV-III = 19 DIV-IV = 50
DIV-0 = 77
CNO SEX AGGT DIV DETAILED SUBJECTS
S1877/0001 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'D' ENGL - 'D' CHEM - 'F' BIO - 'E' B/
MATH - 'F'
S1877/0002 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/
MATH - 'F'
S1877/0003 F 43 IV CIV - 'E' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'C' ENGL - 'D' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S1877/0004 F 28 III CIV - 'D' HIST - 'C' GEO -
'D' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'C'
B/MATH - 'E'
S1877/0005 F 38 IV CIV - 'E' HIST - 'E' GEO -
'E' KISW - 'B' ENGL - 'D' BIO - 'E' B/MATH - 'F'
COMM - 'F' B/KEEPING - 'E'
S1877/0006 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S1877/0007 F 46 IV CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'C' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/
MATH - 'F'
S1877/0008 F 24 II CIV - 'C' HIST - 'B' GEO -
'C' KISW - 'B+' ENGL - 'B' CHEM - 'D' BIO - 'B'
B/MATH - 'E'
S1877/0009 F 48 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'E' ENGL - 'F' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S1877/0010 F 49 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'F' ENGL - 'F' CHEM - 'F' BIO - 'F' B/
MATH - 'F'
S1877/0011 F 47 0 CIV - 'F' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'E' ENGL - 'E' BIO - '
S1877/0028 F 44 IV CIV - 'F' HIST - 'E' GEO -
'F' KISW - 'C' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
S1877/0037 F 45 0 CIV - 'E' HIST - 'F' GEO -
'F' KISW - 'D' ENGL - 'E' BIO - 'F' B/MATH - 'F'
------------------------------------------------------------
--------------------------------------
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF
TANZANIA
CSEE 2013 EXAMINATION RESULTS
S3133 WIGAMBA SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 1 DIV-II = 10 DIV-III
 
katk mwaka waliokurupuka huu kiboko.. inakuaje mtu ana F ya math anapata div II!!! au ndo big result????
 
Sitaki hata kusikia hizi habari ,nna hasira nao!!!
 
kigezo walichokitumia mwaka huu ni kuwa endapo mwanafunzi katika masomo aliyofanya ameshindwa kupata japo C moja au D mbili na amepata point 42 basi huyo atakuwa na division 0 lakini akiwa na japo C moja au D mbili na ana pointi 42 basi atapata division IV.
 
haya matokeo yawe nullified haraka iwezekanavyo.
 

Mkuu landala nisaidie, so division four inaishia point ngapi?
 
Nchi inaparaganyika... Kwa kweli Katiba mpya inatakiwa kuirejesha nchi hii kwenye mstari.. tusipoangalia tunaelekea kuparaganyika...Nakubaliana na Tundu Lissu hapa..
 
Last edited by a moderator:
Kuna chenga nyingi kuhusu haya matokeo....anywei wameamua kutanua magoli wacha madogo wafunge....HAFELI MTU HAPA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…