Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
uchafu uko wapi?Duuh uchafuuuuuuu!!
uchafu uko wapi?
naliona sioni tatizo......tatizo nini hapo? au hio tattoo?Hilo kwapa hulioni, au tukutafutie miwani
NN, nini imekaaje? Tattoo hiyo ni picha ya 'liyah?
Hiyo tat ni ya Janet.......
Yeah that is JD........... ameweka tatoo ya Jannet jackson on her 49th birthday..I hope na mimi Cuppy aweke........ tatoo ya picha yangu kwenye mkono wake wa kushoto during my borthday....
Cuppy Janet siyo mzee hivyo...duuuuh
Nasikia unataka kubandika tattoo la jina langu kwenye mwili wako? nitaanza kuwacharge $$$ mnachukua maujiko sana...sorry 43 years old......Janet Damita Jo Jackson borh May 16th 1966....
Nasikia unataka kubandika tattoo la jina langu kwenye mwili wako? nitaanza kuwacharge $$$ mnachukua maujiko sana...
Nasikia unataka kubandika tattoo la jina langu kwenye mwili wako? nitaanza kuwacharge $$$ mnachukua maujiko sana...
Me niweke tatoo ta jina lako?hahahaha dogo naona unatania...for the record nina tatoo ya jina Cuppy on lower back!....and kipini with is picture on my tummy tak!...
I lo u Cuppy....
Looks like someone doesn't miss their daily dose of Bossip. I love their " in white peoples' news" slogan
I lo u back cuppy!...muaaah!
Hivi unataka kuniambia kuwa wewe you don't gossip?.........hata siku moja?..inamaa huangalii entertainment news hata kiduchu?.........Mtu ambaye yeye hana fun in his/her life huyo siyo normal ni abnormal....hata maraisi wenyewe ingawaje wako busy na majukumu mengi than anybody ...........lakini bado wataangalia entertainment na kugossip............mfano Obama and his cabinet lazima kila siku wa-gossip about Rush Limburgh.....