Imekaaje hii?

LOL!........i knwo you nikikwambia utaenda kuharibu hahaha ...as long as Icadon kasema anapenda yeye a woman with butterfly tat' on the lower back......

Siwezi kuharibu...Icadon is my boy
 
Hey Cuppy...naona una stalker siku hizi....
 
Hahahaha Nakwambia....Ma-stalker wengine wa kuwagopa cuppy.....wanaweza kuwa ni sex offender....

Yeah...ahahahahahaaa....huyu wa hapa akiwa sex offender mpige zile judo na karate chops nilizokufundisha
 
kelly01 mambo vipi......nai miss ile avatar nitumie kwenye PM plz
 
LOL!......wee yo yo siyo wewe uliyeanza kusema ooh miguu gani hiyo kama ya wachaga>?..leo imekujili nini hadi unaiulizia>?

hahah Cuppy!...uwiii niweke lips tena unataka watu waanze kuchanganyikiwa hapa.....no way...miguu tuu ilitosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…