unakuta uko na uhusiano na mtu wa muda mrefu sana na siku zote haonyeshi kama anauhitaji huo uhusiano,ila anaponusa kuwa kuna dalili ya kuachwa anaanza kuonyesha mbwembwe za kila aina na kufanya yale uliyokuwa ukiyahitaji mwanzoni,ni uoga au alikuwa anakujaribu.
hahahaaaa kwa hiyo anakulia mingoHAPO KWENYE REDI Utamu kuacha
inabidi na mimi nikae kimachale au sioNa akikurudisha kwenye line lazima alipe kijumla jumla