Ipo hivi wakuu Kuna Jamaa nilimuamini sana maana niliunganishwa na rafiki yangu yani rafiki yake na rafiki yangu katika kumsaidia katika kazi!?
Siku ya alhamisi akanishtua huyo rafiki yake na rafiki yangu kwamba twende sehemu tukafanye kazi maana namba zetu tulipeana, basi hiyo tumeenda katika kazi akapewa maelekezo ya kufanya na tajiri Mimi nipo pembeni maana amenichukua tu, basi baanda ya kupewa akanipa maelekezo jinsi ya kufanya maana Sina ujuzi nayo Ile kazi tumeifanya siku tatu tukaimaliza,
Nifupishe story tu Toka jumapili ajanipa kilichokua Haki yangu na nilipoenda alipokuwa anaishi ameama kabisa hayupo kabisa na makubaliano yetu Mimi na yeye ni atanilipa kila siku 15000 kwa siku tatu ila kwa sababu zake anasema hakupewa hela ya kianzio yeye afanye kazi tu pia akasema siku tatu anipe kwa awamu nzima jumla iwe 45000 na chakula alikuwa ananinunulia Asubuhi na Mchana jumla 6000 maana asubuhi 1000 pia Mchana 1000 yani Bora angenikata hela ya kuninunulia chakula nikabaki na kiasi changu kingenisaidia 😢 natamani itokee muujiza nitokee huko aliko nimuulize fulani mbona umenifanyia hivi anipe majibu kabisa roho itulie Nina uchungu na hasira sana😭 hela ndo nilikuwa naitegemea sana niwe na malengo nayo