Nunua bwana si zipo madukani?then lipuka nayo mpaka dukani kwa mangi alafu nipe feedback,so kwa anayevaa na hajaoa anakuwa kapewa na mpnz wake?
kawaida tu bibie,hata mimi ni mvaji mzuri japo siwezi kwenda umbali mrefu!huku down stairz inabidi kuwe huru baada ya kubanwa kutwa nzima
Mweeee! naisubiri kwa hamu Igwe, kwani najua lazima magazeti ya udaku watapata heading!ila nimecheka sana bo!nasubiri feedback tafadhali!Good advice_hakuna haja ya kulipuka nayo mpaka kwa mangi_kuna masista du hapa watoto wa mama mwenye nyumba najua wataleta za kuleta tu,halafu ntakuteli....nikiona vip ni vuuuuuuuuuuuuuup mpaka grocery ya jirani..yaani mpaka waseme kitu maake wenye kukereheka kama ww hawakosekani.
Ok,kama ni kawaida kwann huwezi kwenda nayo umbali mrefu?kawaida tu bibie,hata mimi ni mvaji mzuri japo siwezi kwenda umbali mrefu!huku down stairz inabidi kuwe huru baada ya kubanwa kutwa nzima
Sawa inawezekana hewa inahitajika kupifika huko kwa wingi, katavi kwann asiende nayo mpaka mtaa wa pili akinyoosha viungo?Ahahahhahaaaah!! Hili ndio jibu kwa Cantalisia.
Sawa inawezekana hewa inahitajika kupifika huko kwa wingi, katavi kwann asiende nayo mpaka mtaa wa pili akinyoosha viungo?
Bora hiyo ya kuwa rum watu hawaon,na inawezekana wengi wanavaa,je kabla ya kuoa ulikuwa unavaa?unaonaje ukitoka nayo mpaka kibarazani au kusindikiza mgeni?
Asante nimekupata so hata ww ungewaona hao niliowaona mie ungeshangaa pia, asante Kaizer.vazi la kanga Canta lina maana nyingi kutegemea na mvaaji na shemu husika
kwa wababa wengi linavaliwa zaidi chumbani kwanza kwa sababu ni jepesi na rahisi (mbdadala wa msuli) , kama alivosema Eli apo juu wakati wote ni wakati wa chai kwa hiyo mama na baba wakiwa chumbani, wanaweza kuamua kunywa chai wakati wowote. Ni kwa sababu hiyo...kwangu mimi ninaona sio sahihi kuvaliwa na mwanaume kama vazi la kutembeelea sehemu zaidi ya chumbani/bafuni.
Nimekusoma mkuu na kwa maana hiyo hawa niliowaona mie watakuwa na lao jambo kwan wanachokifanya sio kawaida na nitofauti na matumizi ya kawaida!mh kutoka nayo sebuleni mpaka kumsindikiza mgeni hiyo siwezi kwa kweli, umri nao labda kwa watu wazima miaka 50 na kuendelea wanakuwa hawajali saana surroundings km vijana
Asante mdau,kwakweli hata mie ndio maana nilibaki na mishangao kibao!Aaaaaaaaaaa dada angu mimwenyewe hainifurahishi kabisahii kitu
utakuta baba kavaa, muda so mrefu kama wana binti wa kike nae kaidandia kavaa
bs nyumba inakuwa haina heshima kama ndo mm namuelimisha mme wangu kunipenda sio lazima univalie kanga na vitenge vyangu.
Mila ya mkuu?Dumisa mila.
Aaaaaaaaaaa dada angu mimwenyewe hainifurahishi kabisahii kitu
utakuta baba kavaa, muda so mrefu kama wana binti wa kike nae kaidandia kavaa
bs nyumba inakuwa haina heshima kama ndo mm namuelimisha mme wangu kunipenda sio lazima univalie kanga na vitenge vyangu.