🤣Ujue chadema hamna ajenda
Sasa mkuu mtu kama hyperkid unamchukulia seriously kweli?Naona imekuwa kituo cha kujadili vyama tena! Baadhi ya watu sijui akili huwa mmezikalia!
U-SERIOUS WAKE UKO WAPI??🤣
Yuko serious mwenzio ujue?
Kakaaa....katafakari na kujiuliza, akakosa jibu - akaona ni vyema aanzishe uzi JF kuuliza ili ajue...U-SERIOUS WAKE UKO WAPI??
Obama alibadilishiwa kwani😆😊😆Hujui protokali kaa kimya. Jiridhishe kwa Marais wageni wakija nchini inakuaje.
Huyo hajui kitu. HAIJAWAHI KUTOKEA Rais kubadilishiwa Aide de Camp (ADC) kisa yupo nje ya nje!Sijui ndio maana nimekuja kuhoji.. wewe unaejua elimisha wasiojua.
Mambo ya kawaida,wajameni nyie hata hamkusikia blass band wakiimba "Tazama ramani"Ni Utaratibu Wa Kawaida Pia Upo Tangu Kitambo Sana
Siyo Kwa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Huyu Bali Wote
Kama msaidizi tuliyemzoea anaumwa?Inafahamika kuwa Marais huwa na wasaidizi wao, kwa hapa kwetu msaidizi wa Rais ndio huwa karibu na Rais na huteuliwa kwa uyakinifu.
Nini hiki kinachotokea Kenya kuona Rais wetu anamsaidizi mwengine tena nahisi si kutoka katika taifa letu. Kiusalama ni nini hii?
Je, ulinzi wa Rais wetu upo kiumakini kweli au ni kawaida?