Pre GE2025 Imekaaje ukurasa wa Tamisemi huko Twitter kueleza habari za Ilani ya CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wakuu nina jambo hapa linanisumbua kichwani.
Nimepita kwenye pages kadhaa za wizara mbalimbali na nimekuta wana post sana mikutano chama cha siasa pamoja na shughuli zake kadha wa kadha.

Ninaomba ufafanuzi kwa mwenye uelewa wa mambo haya. Hii iko sawa, official page ya wizara ku post ziara za kuimarisha chama?
 
Pengine hujui maana ya msemo wa "Bongo Nyoso"

mwenye kujua amjuze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…