Damaso JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 3,978 Reaction score 6,739 Oct 10, 2024 #21 Inaweza kuwa sawa kwa mtazamo wa kichawa! Wanalinda mikeka yao! Ila kiutaratibu sio sahihi! Hata pages za Halmashauri hazitakiwi ila kwa Tanzania viongozi wanalinda ugali
Inaweza kuwa sawa kwa mtazamo wa kichawa! Wanalinda mikeka yao! Ila kiutaratibu sio sahihi! Hata pages za Halmashauri hazitakiwi ila kwa Tanzania viongozi wanalinda ugali
N neno ni upanga JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 494 Reaction score 1,656 Oct 10, 2024 #22 Shida uchawa umezidi mpka kwenye taasisi nyeti za seikali
G Gypsum Screw JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 701 Reaction score 895 Oct 11, 2024 #23 Yoda said: Hii nchi ni ya vyama vingi?? Click to expand... vyama vipi?