Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya vyoo hazipaswi kutoa msaada kwa nchi matajiri.
Magufuli alitoa msaada Msumbiji walipopatwa na kimbunga, unakumbuka?Diplomasia ni kujenga mahusiano mazuri nje wakati kwako hali si nzuri au mimi ndiye sijui?.
But ndiyo napata swali, wakati wewe una shida inawezekana ukatoa msaada kwa mwenzako kwa kigezo cha diplomasia?