Wewe, zipo kweli au dishi limeyumba?Halafu mchezaji huyo huyo anayeonekana kufanya sala kabla ya match ndio mchezaji huyo huyo ambaye aliingia uwanjani kinyume nyume kupitia mlango usio rasmi (siwasemi Yanga)
Halafu ikatokea amefunga goli anafanya ishara ya msalaba au anasujudu.
Then fans kama kawaida yao wanatoa appreciation sehemu isiyo stahili utaskia "Azizi Ki ni kiboko" (nimetolea mfano japo una ukweli)
NB: Haters wataumizwa na maneno machache ya kwenye mabano na kusahau ujumbe mzuri nilioandika kwa maneno mengi
Hoja yako ni?Kwanza mpira ni ushetwani, Mungu huwa anaziba masikio na kufumba macho mpira unapochezwa.
Hapo hkuna hoja mkuu just relaxHoja yako ni?
Cyo popoma kweli huyuWewe, zipo kweli au dishi limeyumba?
Afrika(nyeusi) kila kitu ni kumwachia Mungu!Huwa naona wachezaji mpira wakisali kabla ya kuanza kucheza, pia katika nchi kama yetu huwa nasikia wadau, viongozi wa serikali, timu na mpira kwa ujumla wakihamasisha raia waiombee timu ya taifa au vilabu vyao pendwa vishinde mechi.
Ikiwa upande wa pili wa timu pinzani nao itafanya au unafanya hivyo haya si yatakuwa mashindano ya kusikilizwa kwa sala au dua?
Je hii inakuwa na mashiko yoyote katika timu kushinda au kushindwa?
Mungu anakubali maombi ya aina hii ya kuiombea timu nyingine ishindwe?