Kumbe unaandika kwa ulimimkuu si unajua mfupa hauna ulimi
hahaaaa ..aiseee kinachoni furahishaga humu ..huwa hkuna msamiati utakao kosa jibuKumbe unaandika kwa ulimi
kweli mkuu..kuna maneno ambayo mwanaume kuyatumia haipendezi, japo hakuna mahala yamekatazwa mwanaume usiyatumie...
1. tyu ukimaanisha 'tu'
2. k ukimanisha 'ok'
3. p ukimaanisha 'poa'
4. tantee ukimaanisha 'ahsante'
5. jomoni ukimaanisha 'jamani'... NB hata hili neno jamani real gentlemen hawezi litumia
6. enx ukimaanisha 'thanks'
n.k
maneno mengine ni kama unachati na dume mwenzio alafu unatumia neno dia, my, wangu n.k haitakiwi
na..poyee, sijui wanamaanisha nini! vr disgustingkuna maneno ambayo mwanaume kuyatumia haipendezi, japo hakuna mahala yamekatazwa mwanaume usiyatumie...
1. tyu ukimaanisha 'tu'
2. k ukimanisha 'ok'
3. p ukimaanisha 'poa'
4. tantee ukimaanisha 'ahsante'
5. jomoni ukimaanisha 'jamani'... NB hata hili neno jamani real gentlemen hawezi litumia
6. enx ukimaanisha 'thanks'
n.k
maneno mengine ni kama unachati na dume mwenzio alafu unatumia neno dia, my, wangu n.k haitakiwi
Nimejifunza jipya, yaani siku zote nilikuwa nadhani K inamaanisha yule mnyama mtamuu. Dah, acha nirudi kwenye inbox yangu fasta. Kumbe wengine tulikiwa tunakosana bure tu huku wengine wakinikasirikia ghafla hadi najuiliza, kunani?kuna maneno ambayo mwanaume kuyatumia haipendezi, japo hakuna mahala yamekatazwa mwanaume usiyatumie...