Imekuwa kero sana ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo

Imekuwa kero sana ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Maisha ya mtanzania zama hizi ni kubahatisha tu nchi ya mama 🕛💯
 
Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti.
Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari
 
Back
Top Bottom