Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Sep 27, 2024 #1 Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari? Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini. Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka
Ukiwasha simu tu mara mimeseji ya matangazo ya kamari hiyo. Hongera umeshinda sh. kadhaa, mara mizunguko ya kasino huku hata huwafahamu. Au hawa wa mikopo mtandaoni wamehamishia majeshi kwenye kamari? Halafu wasanii wa vichekesho ndio waenezaji wa upuuzi wowote hapa nchini. Soma Pia: Ushauri: Kijana kama huijui kamari usiisogelee kabisa, kamari ni hatari zaidi ya hatari ya kuchezea nyoka
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 5,962 Reaction score 17,648 Sep 27, 2024 #2 Kamari ni haramu.
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,225 Reaction score 5,055 Sep 27, 2024 #3 Maisha ya mtanzania zama hizi ni kubahatisha tu nchi ya mama 🕛💯
Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Sep 27, 2024 #4 Fanya Yako mzee kamari haikuhusu hivyo ipotezee
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Sep 27, 2024 #5 Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari
Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Sep 27, 2024 Thread starter #6 Blender said: Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari Click to expand... Kamari everywhere
Blender said: Tigo hao, kila siku asubuhi wananitumia SMS za kubeti. Hivi haoni huu ni usumbufu kwa wateja , wasio cheza kamari Click to expand... Kamari everywhere