Imekuwaje Fei, Tshabalala na Kapombe nje stars?

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Kama ilivyokuwa kwenye mkeka wa Teuzi za Mawaziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali kutoka baadhi ya Waheshimiwa walikuwa bize kuangalia kama wametokea kwenye mkeka huo ndivyo ilivyokuwa kwa wadau wa soka walivyokuwa bize kuangalia mkeka wa Taifa Stars.

Macho ya wadau yakajikuta yakianza juu na kushuka chini yakiwa yanatafuta majina matatu ya SHOMARI KAPOMBE, MOHAMMED HUSSEIN NA FEI TOTO ambao hawajatokea kwenye mkeka huo.

Huku swali likiwa IMEKUWAJE?
 
Yaani wewe ulitaka kwa mfano asiitwe Kibabage, aitwe nani sasa hapo.
 
Who is the Head Coach?
 
I wish wazitokee kbsa wachezaji gani hao wachezaji Ni wengi mno wakucheza nafsi huo
 
Kocha wa Taifa aachwe afanye kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…