Habar wa sport,leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu nje ya uwezo wao, si angetajwa jina tu.kwa hivo tuamini,kweli amesajiliwa?.
View attachment 1915492