Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliogopa kuambukizwa ujingaUkiangalia ramani unaona kabisa bara la Ulaya na Asia ni vimeungana na kuwa kitu kimoja. Kwa pamoja huitwa Eurasia lakini hatuna bara la Eurasia tuna Asia na Europe. Ilikuaje ikawa hivi?
View attachment 2009303