Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wakati John Pombe Magufuli alipokuwa Waziri wa uvuvi na mifugo alikuwa na utaratibu wa kutoa idadi ya samaki waliomo kwenye maji yanayozunguka nchi yetu na wanyama mbali mbali wa kufugwa. Ilikuwa ni kawaida kwenye Hotuba zake kutoa idadi ya wanyama na samaki mbali mbali ambao wamo nchini mwetu.
Lakini mawaziri waliofuatia baada ya yeye kuondoka kwenye wizara hiyo wameacha kabisa utaratibu huo. Tatizo ni wao kukosa watu wa kufanya sensa ya samaki na wanyama ama ni kudharau kutoa takwimu hizo kwa watanzania wenzao?