Hakuna kitakacho kusaidia zaidi ya shule,kuolewa hakwishi ukiwa na elimu wanaume utanunua unaemtaka,huyo kakako mwambie asikufupishie maisha, huyo bwana mkewe keshamzalia watoto wawili sasa anakutaka wewe ukamzalie Kima au Tembo? wasikushughulishe na Oman wala Dubai soma mwanakwetu...
Olewa ili kaka yako apate kazi. Watu wapo tayari kuua ndg zao ili wapate hela wewe kuolewa tu unakataa!
We nenda acha ujinga, Elimu yenyewe haitabiriki.
Huyu Binti kaniomba msaada, Naomba wana JF mumsaidie:
Huyu jamaa anaishi Oman ana mke na watoto wawili. anataka kunioa niwe mkewe wa pili (Mitala) na nikaishi naye huko.
Baba kaniambia niamue mwenyewe, na hivyo nimeikataa hiyo posa, lakini huyu kaka yangu mkubwa kanishupalia niolewe, kisa kaahidiwa kutafutiwa kazi Uarabuni.
mimi nimekataa kabisaa, na sasa hapa nyumbani kuna vuta nikuvute kuna wanaosema niolewe kuna wanaopinga, kwani mie nataka mwakani niendelee na masomo.
Eti Mzee Mtambuzi nisaidie nifanyeje?
Ah we Mzee kesho na keshokutwa akirudi hapa na kilio cha kunyanyaswa na mume utamsema kwa nini alidanganyika na Dubai!!
Mwambie huyo kaka yako aolewe yeye
Hahaha ukajua bunge lishampitisha Cameron. Na sheria ishaanza kutumika. Nalog offuwe unaanza na tahadhari kaka,mwanzoni nilidhani wewe ndio wataka kuolewa,roho ikanilipuka!ngoja nikanywe maji baridi niishushe kwanza
hapo namshauri aende kwa machale. Ina maana hajipeleki mzima mzima. Lengo ni bro wake apate kazi.
uwe unaanza na tahadhari kaka,mwanzoni nilidhani wewe ndio wataka kuolewa,roho ikanilipuka!ngoja nikanywe maji baridi niishushe kwanza