Imeletwa Posa!

apige shule, wanaume wapo wa kila aina, atapata ambaye hajaoa,ya nini binti mbichi kujiingiza kwenye karaha za mitala?

Na amwambie kaka yake na ndugu zake yeye sio bidhaa, kaka mtu agangamale mwanaume atafte kazi, c kutaka kumuuza dadake, akikosa cha kuuza david cameroon si atahusika?
 

Sioni kwa nini wengine washupalie mwingine kuoa ama kuolewa.
 

Follow your heart. Kama hutaki basi endelea na msimamo wako na asikulazimishe. Kama huyo kaka amekushupalia, basi mwambie aende akaolewe yeye huko Oman
 
Dont let her to that ...marriage!
 
Kuolewa na mtu, kisa ameletwa na baba, ni tajiri fulani, ni mtu wa Dubai, kamwe ndoa haidumu, mwanamke anapaswa ampende yeye mwenyewe kutoka ktk nafsi yake bila kushurutishwa na mtu, Ukewenza wahitaji subra dear, tena ujifunge hasa, lakini ya nini yote hayo???? Ungali bint mdogo, soma mdogo wangu ukiwa na kazi yako na elimu yako hata huko ulaya utaenda na mtu umpendaye bila kushurutishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…