habari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
apole mnooo ila kusema ukweli hua wanawake hatusemi ukweli mara nyingi hii ni kweli mtu anakufata umempenda humwambii kua umeolewa au una mtu mkishazama sana ndio wamuibukia ujue mi nina mtu au ujue mi mke wamtu ila tutafanya siri okhabari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
sio vizuri kabisa na haipendezi hao walompa kichapo,
kuanzia muhusika na wenzake hawajiamini isitoshe watakuwa na ulimbukeni fulani hivi
Wakupewa kichapo ni mwanamke na sio mwanaume,
kama demu hajatulia je? watatoa sana vichapo kwa watu wasio na hatia.
kama ndo mm naenda kupeleka taarifa polisi, nimevamiwa na wezi,
in red, umenena wangu...
unatakiwa umalizane na m2 wako, kama mdada hajatulia utapiga/utapigana na wangapi??
hawakumtendea haki dogo, na bahati yao walikuta dogo ni mnyonge...
jamaa alitakiwa ajiweke pembeni kuepusha msongamano, vinginevyo atakuja kutana na wajanja watamfanya mbaya kutokana na tabia yake ya kuparamia wenzake...
jamaa kazibuliwa haswa asubuhi hii nilienda kumcheki hospital japokuwa simjui yaaani amevimba uso hata macho hayaonekani vizur..inatsha
Hujapenda ndugu yangu, hata kutoa roho ya mtu unawezahabari zenu wana jf.. Jana kunakitu kimenikera sana, nilipokuwa nikitoka kazini mida ya sa4 nilipita eneo fulani nikakuta vijana kama sita wakiwa mamemfunga kijana mwingine kamba miguuni na mikononi huku wakimpiga kama mwizi nilipojaribu kusogea kuuliza kuna nini wakajibu "huyu jamaa kamchukulia msela wetu demu" nikajitahd kuamua huku nikiwatsha naita polis kweli wakamuacha lakini jamaa ameumia sana na nilipomuhoji akasema yule demu ndo alimfata akamtaka wawe wapenzi. Hadi sasa jamaa yuko hospitali anauguza majeraha. Hivi wenzangu ni halali kuumizana kwa ajili ya mapenzi? Naomba kuwasilisha
nimekukubali dadaSio halali kbs kumuumiza mtu kwa ajili ya mapnz, ila huyo aliyechukuliwa demu na hao wapigaji ni wapuuzi tu,alieibiwa demu yeye ndio angedeal na huyo demu wake aliyeenda kujirahisi kwa bwana mwingine,na relation yenyewe nahisi itakuwa ya kitoto na wahusika ni watoto ndo maana wana maamuzi ya kitoto.
hivi wanaume tumekua wapumbavu kiasi cha kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya demu..