Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
MREMBO: Baby naomba unisaidie pesa nikaseti nywele zangu, naona haziko sawa
Nikazama mfukoni nikachomoa noti kadhaa za elfu tano tano na kumpatia mrembo.
MIMI: Baby japo najua pesa hiyo ni kidogo ila ukiipangilia vizur inatosha.
Mrembo baada ya kuzihesabu na kukuta zipo 100,000/- akachukua 15,000/- tu na zile 85,000/- zIlizobaki akanirudishia, kisha Akasema:
Baby hii 15,000/- inanitosha hiyo 85,000/- utaitumia kwa mambo mengine, hupaswi kuanza kutumia pesa nyingi kwa ajili yangu sasa hivi ila utakaponioa ndio utapaswa kunigharamia.
Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto ya kutisha kama hii... [emoji32] [emoji32] [emoji32] [emoji125] [emoji125] [emoji125]