Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana


Husika na kichwa cha habar hapo juu


Niko hapa dar nimeagizwa vitu kazaa na mshua mara yangu ya mwisho kufika hapa ilikuwa mwaka jana

Mwaka jana nilibaki hoi sana baada ya kufika na kuwaona wanaume waliovaa vinguo vya kubana mapaja kama zile wanazovaa dada zetu, sio hivyo tu nilikuwa nikiwaona wamejikusanya sehemu wanakula vitu vinavyoitwa chips nilishangaa sana kwakweli


Sasa leo ndo nimeshangaa zaid baada ya kuona siku hiz hawali tena chips wanashindia biskuti na azam cola, nimesikitika sana kwakweli aisee


Kwahiyo enyi wanaume wa dar mumetoka kwenye ulaji wa chips na mumehamia kwenye biskut

Ndo maana wanawake wa dar hawaish kulia lia kutolizishwa na wanaume wao

Mnashindia biskut aisee mumeniacha hoi sana


LONDON BABY
 
Wanashindia Biskuti na Azam Kola? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me nakula kila kitu biskuti,chipsi,cola,maku..yaani kiufupi kwenye vyakula tusipangiane kabisa

Ila hapo kwenye suruali zinazobana ndio vijana wenzangu wanaponiacha hoi
 
Me nakula kila kitu biskuti,chipsi,cola,maku..yaani kiufupi kwenye vyakula tusipangiane kabisa

Ila hapo kwenye suruali zinazobana ndio vijana wenzangu wanaponiacha hoi
Mkuu kuna tofauti ya kula biskuti na "kushindia" biskuti.
 
HA! HA! HA!

Labda sababu vyuma vimekaza na albadir zinazoendelea zinaweza kuchangia.
Biscuit????? hapa wamezidi hawa wa daslam.
 
Dar maisha magumu sana usione wanajipaisha humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…